KWANINI PID INAKURUDIA MARA KWA MARA(Sababu #2 ni ya kuzingatiwa sana)

Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kusababisha Pelvic Inflammatory Disease (PID) kurudi baada ya matibabu:

  1. 📌 Maambukizi Yasiyokamilika:

👉 Wakati mwingine, matibabu ya PID hayamalizi kabisa maambukizi ya bakteria au haukufuata muda wote wa matibabu ulooshauriwa na daktari. Hii inaweza kuruhusu bakteria kuendelea kuwepo na kusababisha kurudi kwa maambukizi.

  1. 📌 Bakteria Kustahimili Dawa:

👉Baadhi ya bakteria wanaweza kubadilika au kuwa na upinzani dhidi ya dawa fulani, hivyo kuwa vigumu kwa antibiotics kutibu maambukizi, na hivyo kurudi kwa PID.

  1. 📌Mfumo wa Kinga ya Mwili:

👉Katika hali fulani, mfumo wa kinga ya mwili wa mtu unaweza kuathiriwa, ukifanya iwe vigumu kwa mwili kupigana na maambukizi ya bakteria, na hivyo kuongeza hatari ya kurudi kwa PID.

  1. 📌Mienendo ya Kingono:

👉 Mabadiliko katika mienendo ya kingono, mabadiliko/kubadilisha washirika wa kingono, au kutofuata mbinu bora za kinga dhidi ya maambukizi ya kingono kunaweza kusababisha kurudi kwa maambukizi ya bakteria yanayosababisha PID.

Kwa kuzingatia maelekezo ya daktari, kutumia dawa kikamilifu, na kufuata mbinu za kinga dhidi ya maambukizi ya kingono, inaweza kupunguza hatari ya kurudi kwa PID. Ni muhimu kushauriana na daktari kama kuna dalili za kurudi kwa PID ili kupata matibabu sahihi na kuzuia madhara zaidi.

Tuwasiliane Kwa matibabu yatakayokomesha kujirudia rudia kwa PID

Whatsapp/Call +255766181461
@dr_khalidgugu

kujirudia

pid

kinga

Ijue PID, changamoto ya uzazi inayowasumbua wanawake wengi

PID (Maambukizi ya via vya uzazi) yanahusu maambukizi yoyote katika mfumo wa uzazi wa mwanamke.
Hii inaweza kujumuisha maambukizi katika sehemu kama vile shingo ya kizazi (cervix), mirija ya uzazi (fallopian tubes), kizazi (uterus), au ovari (ovaries). Maambukizi haya yanaweza kusababishwa na bakteria, virusi, au vimelea vingine na mara nyingi hutokea kupitia kujamiiana, ikiwa ni pamoja na STIs kama vile chlamydia na gonorrhea.

Ili kuzuia maambukizi ya via vya uzazi, matumizi ya kinga kama vile kondomu wakati wa kujamiiana ni muhimu. Pia, huduma bora ya afya ya uzazi na uchunguzi wa mara kwa mara husaidia katika kugundua na kutibu maambukizi haya mapema kabla hayajasababisha madhara makubwa zaidi kwa afya ya uzazi wa mwanamke.

Niipigie tuongee nikushauri vizur zaidi ndg ikibidi nikupe suluhisho sahihi la Tatizo lako

🍓 @dr_khalidgugu
Call me /whtsap
+255766181461

Homoni Hii Ya Proclatin Inavyoathiri Afya Yako Ya Uzazi We Mwanaume na Mwanamke

Homoni Hii Ya Proclatin Inavyoathiri Afya Yako Ya Uzazi We Mwanaume na Mwanamke

Homoni hiyo ni homoni inayohusishwa kimsingi na kunyonyesha (uzalishaji wa maziwa) kwa wanawake baada ya kujifungua. Utengenezwa na tezi ya pituitari kwenye ubongo. Hata hivyo, wanaume na wanawake wana hii homoni, na hufanya kazi mbalimbali zaidi ya kuzalisha maziwa kwa mama anaenyonyesha.

Mbali na jukumu lake katika kunyonyesha, prolactin ina sehemu katika kudhibiti mfumo wa kinga, kimetaboliki, na kazi za uzazi.

Kwa wanawake, inasaidia kudhibiti mzunguko wa hedhi na inasaidia maendeleo ya tezi za mammary wakati wa ujauzito.

Kwa wanaume, imehusishwa na kazi ya mbegu za kiume(manii).

Viwango vya juu vya kemikali ya prolactin (hyperprolactinemia) vyaweza kutokea kwa sababu mbalimbali, kama vile matumizi ya dawa fulani, uvimbe wa tezi pituitari, hypothyroidism, au hali nyingine za kitiba.

Dalili za viwango vya juu vya prolactin kwa watu wasio na ujauzito na wasionyonyesha zinaweza kujumuisha

📌vipindi vya hedhi visivyo vya kawaida,
📌 kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa (low libido),
📌utasa, na
📌 katika hali zingine, uzalishaji wa maziwa ya mama kwa wanaume au wanawake wasio wajawazito.

Viwango vya chini vya prolactin (hypocrlactinemia) si vya kawaida sana na vinaweza kuhusishwa na dawa fulani, matatizo ya tezi, au ukosefu wa usawaziko wa homoni.

Madaktari wanaweza kupima viwango vya homoni hii ya prolactin kupitia vipimo vya damu na wanaweza kupendekeza tiba, kulingana na sababu ya msingi ya kiwango cha juu au cha chini cha homoni hii.

Kama unakabiliwa na dalili yeyote kati ya hizo zilizo orodhesha hapo juu

Wwasiliana @dr_khalidgugu kwa ushauri na tiba
Whatsapp/Call +255766181461

@dr_khalidgugu

wasafi

kingkiba

afyauzazi

kutokwanamaziwa

hormoneimbalance

daressalaam

mwanza

MOJA YA MADHARA MAKUBWA YA ‘PID’ ni UGUMBA.

Moja ya madhara makubwa ya PID niUGUMBA (infertility);Pelvic Inflammatory Disease (P.I.D)~Ni Maambukizi kwenye via vya Uzazi waMwanamke,PID sio nzuri kwa Afya ya Uzazi, Kati ya wanawake 8 wenye PID sugu mmoja anakuwa Mgumba.MADHARA MENGINE 7 YA P.I.D katika mfumo wa Uzazi ni:-✔️ Mimba kutugwa nje ya kizazi (Ectopic pregnancy).~ Katika tatizo hili Tatizo la mimba kutunga nje ya kizazi Yaani (ectopic pregnancy),Mbegu ya kiume na yai huungana kutengeneza kiinitete kwenye mirija ya uzazi (follopian tube),Badala ya kupandikizwa kwenye mji wa mimba (Uterus)👌 Kwa mantic hiyo kama mimba ikijipandikiza kwenye mirija ya uzazi (follopian tube),Inakuwa na hatari ya kupasuka kadri mimba inavyokua Na kupelekea kupoteza damu nyingi sana,Na Kuwa Hatari kwa uhai wa mama.✔️ Mimba kutoka (miscarriage ).✔️ Mirija ya uzazi kuziba.✔️ Kizazi kujaa maji maji.✔️ Husababisha uvimbe kwenye mayai (ovarian cyst).✔️ Hormonal imbalance.✔️ Saratani ya shingo ya kizazi unapo kaa na infection kwa muda mrefu.-..UTAJUAJE Una PID?Hizi Hapa Dalili Kuu 10 Hatarishi za P.I.D:-1️⃣ Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa.2️⃣ Kuwashwa sehemu za siri.3️⃣ Uke kutoa harufu mbaya.4️⃣ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.5️⃣ Uke kuwa na ulaini sana.6️⃣ Maumivu wakati wa tendo la ndoa.7️⃣ Kuvurugika Kwa hedhi.8️⃣ Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi.9️⃣ Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa.🔟 Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula.AFYA YA UZAZI KWA WANAUME NA WANAWAKE🍀TIBA KUHUSU PID ,INFECTIONS,HORMONE IMBALANCE ,UVIMBE OVARIAN CYCTS,PCOS,MIMBA KUHARIBIKA. MATATIZO YA HEDHI,UGUMBA SHIDA YA MIRIJA KUZIBA NA KUJAA MAJI ,pia (Fertility booster,fertility cleanser zipo) N.K☘️VIRUTUBISHO KWA AFYA YA MJAMZITO ,WATOTO, NA MAMA ANAE NYONYESHA🍀NGUVU ZA KIUME ,MBEGU KUKOSA UBORA N.K🍏TIBA LISHE KWA AFYA YA MIFUPA, PRESHA ,AFYA YA MOYO NA KUREKEBISHA KIASI CHA SUKARI MWILINI.. N.KFollow @dr_khalidgugu Call/Whatsapp +255766181461

Je hedhi salama ni ipi?

Hedhi bora ni dalili ya afya njema ya uzazi, kama wewe ni mwanamke na unaona kitu hakipo sawa katika hedhi yako ni vema uwahi upate ushauri na msaada kwa wataalamu.

Mwanamke akiwa anapata hedhi yenye sifa hizi hapa chini, hapa tunasema Yuko kwenye Hali ya usalama kwenye upande wa mzunguko wake wa hedhi.

👉Hedhi bora hupatikana mara moja kwa mwezi, yaani mfano kama mzunguko wako ni siku 28 basi hedhi yako inatakiwa kupatikana kila baada ya siku 28 na kama hedhi yako haitabiriki ujue kuna shida ambayo unapaswa kutatua kupata hedhi bora.

👉Hedhi bora damu haiwi nyepesi sana au nzito sana, hutakiwi kupata hedhi nzito,hedhi yenye vinyama nyama kama vipande vya maini.

👉Hedhi bora haiambatani na maumivu makali, Kuna baadhi ya wanawake wanapata maumivu makali kiasi kwamba wanashindwa hata kuendelea na shughuli zao za Kila siku

Je umeshawahi kuona mwanamke siku akiingia kwenye siku zake hupata maumivu NA hushindwa kufanya kazi?

Kwa kawaida maumivu yanapaswa kuwepo ila siyo makubwa ya kufanya MTU asifanye kazi, kama unapitia kipindi hichi basi unatakiwa kuonana na mshauri kupata hedhi bora.

👉Hedhi isiyo bora husababishwa mwanamke kupata mabadiliko ya mwili mfano kuvimba usoni au kuwa na upele,au chunusi nyingi,

👉Hedhi bora hupatikana siku 3 mpaka 7,katika mzunguko wa mwezi siku za hedhi zinapaswa kuwa 3 mpaka 7 chini ya hapo au zaidi ni ishara ya hatari katika afya yako

Ukijichunguza kwenye mzunguko wako wahedhi je unahisi uko kwenye hedhi salama?
Share na sisi hapa

Matatizo binafsi zungumza namimi kwa kutuma ujumbe whatsapp +255766181461

uzazitiba #hedhi #wanawakeuzazi #Wanaumeuzazi .

Namna 10 Za Tiba Ya Tatizo La Ugumba (Infertility)

Namna 10 Za Tiba Ya Tatizo La Ugumba (Infertility)

Tiba ni kama ifuatavyo;
👉1. Ushauri nasaha na kuwaelimisha wapenzi wawili –

***Matatizo mengi ya ugumba hutokea kutokana na uelewa au ufahamu mdogo wa elimu ya uzazi na ya kujamiana kwa wapenzi au wanandoa.

***Kuna wanaume wengi ambao hufika kilele haraka wakati wa kujamiana na hivyo kutoa shahawa mapema (au kukojoa) kabla ya muda muafaka (premature ejaculation), hii husababisha kutopata ujauzito ambapo lawama zote hupelekwa kwa mwanamke pasipo mwanamume kugundua kuwa tatizo ni lake.

Ifahamike kwamba hakuna muda uliotengwa ambao ni muafaka wa kufika kilele au kukojoa kwa mwanamume lakini watafiti wa mambo ya kujamiana wanashauri angalau mwanamume afike au akojoe baada ya dakika 15 na kuendelea.

Hivyo ni bora kwa wapenzi kujiandaa kisaikolojia mwanzo na kuchezeana kabla ya kuanza kujamiana ili kurefusha muda kwa mwanamume.

👉2. Tatizo jengine ni kutofahamu lini hasa ni muda muafaka wa kujamiana ili kushika mimba kwa urahisi.

Kuna wanawake ambao hawajui hata mzunguko wao wa hedhi (yaani hawajui wanaanza na kumaliza hedhi lini na wakati wa hedhi wanatumika kwa muda wa siku ngapi).

Ongeza nafasi yako ya kushika ujauzito kwa kujamiana angalau mara 3 kwa wiki kuelekea wakati wa ovulation au kujamiana wakati wa kipindi chote cha ovulation.

Ovulation hutokea wiki 2 kabla ya mzunguko wako mwengine wa hedhi, kama una mzunguko wa hedhi wa siku 28 (yaani kila baada ya siku 28 unapata hedhi), ni vizuri kujamiana angalau kwa siku 3 kati ya siku ya 7-18 baada ya kupata hedhi.

👉3. Kupunguza/Acha kunywa pombe kupindukia, kuvuta sigara, kuacha matumizi ya bangi, kokeni nk.

👉4. Kupunguza kiwango cha mazoezi kwa wanawake.

👉5. Kupunguza unene uliopitiliza

👉6. Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu kwani kuwa na wapenzi wengi huongeza athari ya kupata magonjwa ya zinaa.

👉7. Kuacha tabia ya kuvaa nguo nzito au zenye kuleta joto kali sehemu za siri kwa wanaume kwani joto kali sana hupunguza kiwango na kuathiri utolewaji wa shahawa.

👉8. Kula mlo kamili na wenye virutubisho vyote muhimu kwa afya njema.

👉9. Dawa za kutibu magonjwa kwenye mfumo wa uzazi, magonjwa ya zinaa nk.

👉10. Njia za kitaalamu za kupata ujauzito zijulikanazo kama in vitro fertilization na intrauterine fertilization.

Je, una tatizo lolote la uzazi?
Tuambie, tunaweza kuwa sehemu ya suluhisho kwako!!!…

Call/Whatsapp +255766181461

IVF

ugumba

infertility